• May2021

    Pamoja na wanawake na wanaume kadhaa wa kanisa la Moravian tulipata nafasi kuwa na siku nzuri mbili kwa Ziwa la Nyassa.

  • Katika chuo cha walimu tunajadiliana mfumo wa shule katika Tanzania na Ujerumani.   : Baadaye tumealikwa kupata nafasi kuona kiwanda cha Chai. Kuendeleza chai ya mahali pale na kuileta sokoni.

  • Ziara yetu wakati wa mkutano wa siku mbali mbali wa wanawake 200, wachungaji na wanawake wajitoleao katika kanisa la mkoa. Wanawake wengi wanapanga mazao yao ili kuyauza.

  • Georg Kocheise, mwalimu na mjumbe wa partnership na Shule ya Sekondari Hans und Sophie Scholl-Gymnasium Ulm alikuwa msaidizi mkubwa wakati kuzitembelea shule za Tukuyu. Darasa katika Shule ya Msingi Madaraka.

  • Mahali pa kupika katika nyumba ya kupika. Maendeleo ndiyo vizuri.   Wakati wa chakula pamoja na  waschiriki wa ushirika. Chakula kilikuwa kupikwa na wajumbe wa Akina Mama katika nyumba ya kupika.  Watoto wa Sandi wanatuimbia na kutuchezea dansi. Kwaia mbili za ushirika, Kwaia ya Shadai na kwaia ya St. Stephano...

  • Baada ya ukaribischo wa Askofu tunaona jinsi maparacici  ya mashamba ya kanisa yanavyofungwa. Tunaongozwa katika nyumba ya makumbusho na manonyesho katika kituo cha Rungwe. Kule wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam wanajifunza masomo yao ya historia.

  • Dec2020

    Mch. E. Hauff, asante sana kutukumbusha kuwatumia picha za matukuio mbalimblai ya huku Tukuyu zikiwa na maelezo yake, naahidi kulifanyia kazi, pia kwenye kikao tutaenda kusisitiza. Poleni sana kwa shida ya Covid 19 hiyo sio shida tu ya familia, bali pia kanisa na taifo lote na  ulimwgengu mzima. Mkiwa na...

  • Letter from 1.12.2020

    December 29, 2020

    Jamaniii, poleni sana kwa hali ya hewa hiyo. Nadhani itakuwa beridi sana sasa.  Sisi huku tupo salama na hali ya hewa ni nzuri sana: asuhuhi mpaka alasiri linawaka jua, baada ya hapo inanyesha mvua kwa saa moja au mawili alafu inakatika. Hata sasa inanyesha huko nje. Mi mea yote ni...

  • Apr2016

    Visit 2015 in Tukuyu

    April 22, 2016

    A Delegation of Partnership Germany has visit our friends in Tukuyu in August.

  • Picture from 2011, 2013 and 2015 from Madaraka school and Visit in Germany Scholl Gymnasium: