No comments yet

Letters and Greetings from Tukuyu – 26.11.2020

Mch. E. Hauff, asante sana kutukumbusha kuwatumia picha za matukuio mbalimblai ya huku Tukuyu zikiwa na maelezo yake, naahidi kulifanyia kazi, pia kwenye kikao tutaenda kusisitiza. Poleni sana kwa shida ya Covid 19 hiyo sio shida tu ya familia, bali pia kanisa na taifo lote na  ulimwgengu mzima. Mkiwa na shida huko, na sisi tunapata madhara yake indirectly. Mungu apishilie mbali hili janga liische! Tunamshukuru Mungu, huku bado hali ni shwali. Baba Mch. Tutaleta mrejesho wa kikao cha leo cha kamati ya uhusiano na cha jumamosi (28/11/2020) cha baraza la wazee juma lijalo. Kwahiyo muhutasari wa vikao vyote viwili mtapata kwa pamoja. Asante sana kwa kazi nzuri kuendelea kuudumisha uhusiano wetu. Nitafikisha salaam zako kwenye vikao vyote viwili; cho leo na jumamosi

P. Mwakajange

Post a comment