Ikuti Women´s funktion

Ziara yetu wakati wa mkutano wa siku mbali mbali wa wanawake 200, wachungaji na wanawake wajitoleao katika kanisa la mkoa.

Wanawake wengi wanapanga mazao yao ili kuyauza.