No comments yet

Letter from 1.12.2020

Jamaniii, poleni sana kwa hali ya hewa hiyo. Nadhani itakuwa beridi sana sasa.  Sisi huku tupo salama na hali ya hewa ni nzuri sana: asuhuhi mpaka alasiri linawaka jua, baada ya hapo inanyesha mvua kwa saa moja au mawili alafu inakatika. Hata sasa inanyesha huko nje. Mi mea yote ni rangi ya kijani kama kawaida.

Poleni pia kwa ‚Covid 19 kuendelea kusumbua. Huko tunasikia na kuangalia kwenye television jinsi janga hili linavyoleta shida huko, poleni sana! Huku ni amani kabis; ibada , michezo, mikutano na mambo mengine yanaendelea kama kawaida; „Mungu ametuhurumia sana!“ Mambo mengine ya partnership na kanisani kwa ujumla, nitakuandikia nikitulia vizuri

Asante sana baba Mchungaji

Paul Mwakajange

Post a comment