Chuo cha Walimu na kiwanda cha chai.

Katika chuo cha walimu tunajadiliana mfumo wa shule katika Tanzania na Ujerumani.

 

: Baadaye tumealikwa kupata nafasi kuona kiwanda cha Chai. Kuendeleza chai ya mahali pale na kuileta sokoni.