Eneo la Kanisa la Ndugu Tukuyu

Mahali pa kupika katika nyumba ya kupika. Maendeleo ndiyo vizuri.

 

Wakati wa chakula pamoja na  waschiriki wa ushirika. Chakula kilikuwa kupikwa na wajumbe wa Akina Mama katika nyumba ya kupika. 
Watoto wa Sandi wanatuimbia na kutuchezea dansi.
Kwaia mbili za ushirika, Kwaia ya Shadai na kwaia ya St. Stephano wanatuimbia na wanaonyesha uwezo wao katika nyumba yao. Vijana wengi wanajitolea katika kwaia hizi. Wanafundisha juu ya miradi yao ambayo inapangwa nao, nyumba kwa kwaia na vifaa vinavyhitajika (studio)