Wageni kutoka ushirika wa ndugu Mwanza
Wageni kutoka ushirika wa ndugu Mwanza wanatembelea shule ya wanafunzi wenye ulemavu Katumba katika ushirika wa Tukuyu
Sherehe ya kipa imara, 18/1172023
Sherehe ya kipa imara, 18/1172023. Zaidi ya 50 wakipa imara walihudhuria
Uwasilishaji wa uhusiano Tukuyu-Ulm
Uwasilishaji wa uhusiano Tukuyu-Ulm wakati wa jukwaa la dunia nzima, tarehe 10/12/2023 katika Ulm
Kituo cha ushirika wa Tukuyu
Kituo cha ushirika wa Tukuyu kwa upande wa kushoto kinavyoonekana kutoka mji wa Tukuyu.
Mchungaji wa Tukuyu Lusekeolo Swebe
Mchungaji wa Tukuyu Lusekeolo Swebe wakati wa ibada.
Wageni kutoka Mwanza
Wageni kutoka Mwanza katika shule ya Katumba. Mwalimu mmoja anashukuru kwa zawadi kwa niaba ya walimu wengine.