Kituo cha ushirika wa Tukuyu
Kituo cha ushirika wa Tukuyu kwa upande wa kushoto kinavyoonekana kutoka mji wa Tukuyu.
Wageni kutoka Mwanza
Wageni kutoka Mwanza katika shule ya Katumba. Mwalimu mmoja anashukuru kwa zawadi kwa niaba ya walimu wengine.
40th Anniversary of partnership Tukuyu-Ulm
Mountains cannot meet, but people can That people can meet in person, even across borders of continents, experienced the evangelical communities of Erbach, Söflingen, Wiblingen now for 40 years and the community of Dornstadt since 30 years. The initial contact was in 1981. With reciprocal letters initially, a spirited partnership...
Matema Beach kwa Ziwa la Nyassa
Pamoja na wanawake na wanaume kadhaa wa kanisa la Moravian tulipata nafasi kuwa na siku nzuri mbili kwa Ziwa la Nyassa.
Chuo cha Walimu na kiwanda cha chai.
Katika chuo cha walimu tunajadiliana mfumo wa shule katika Tanzania na Ujerumani. : Baadaye tumealikwa kupata nafasi kuona kiwanda cha Chai. Kuendeleza chai ya mahali pale na kuileta sokoni.
Ikuti Women´s funktion
Ziara yetu wakati wa mkutano wa siku mbali mbali wa wanawake 200, wachungaji na wanawake wajitoleao katika kanisa la mkoa. Wanawake wengi wanapanga mazao yao ili kuyauza.
Kutembelea Shule ya Msingi ya Madaraka na ya Mabonde
Georg Kocheise, mwalimu na mjumbe wa partnership na Shule ya Sekondari Hans und Sophie Scholl-Gymnasium Ulm alikuwa msaidizi mkubwa wakati kuzitembelea shule za Tukuyu. Darasa katika Shule ya Msingi Madaraka.
Eneo la Kanisa la Ndugu Tukuyu
Mahali pa kupika katika nyumba ya kupika. Maendeleo ndiyo vizuri. Wakati wa chakula pamoja na waschiriki wa ushirika. Chakula kilikuwa kupikwa na wajumbe wa Akina Mama katika nyumba ya kupika. Watoto wa Sandi wanatuimbia na kutuchezea dansi. Kwaia mbili za ushirika, Kwaia ya Shadai na kwaia ya St. Stephano...
- 1
- 2