Eneo la Kanisa la Ndugu Tukuyu

Mahali pa kupika katika nyumba ya kupika. Maendeleo ndiyo vizuri.   Wakati wa chakula pamoja na  waschiriki wa ushirika. Chakula kilikuwa kupikwa na wajumbe wa Akina Mama katika nyumba ya kupika.  Watoto wa Sandi wanatuimbia na kutuchezea dansi. Kwaia mbili za ushirika, Kwaia ya Shadai na kwaia ya St. Stephano...

Continue reading

Letters and Greetings from Tukuyu – 26.11.2020

Mch. E. Hauff, asante sana kutukumbusha kuwatumia picha za matukuio mbalimblai ya huku Tukuyu zikiwa na maelezo yake, naahidi kulifanyia kazi, pia kwenye kikao tutaenda kusisitiza. Poleni sana kwa shida ya Covid 19 hiyo sio shida tu ya familia, bali pia kanisa na taifo lote na  ulimwgengu mzima. Mkiwa na...

Continue reading