Nyumba mpya ya Shule ya Jumapili na ya shule ya watoto wadogo
Buildings of Nyumba mpya ya Shule ya Jumapili na ya shule ya watoto wadogo:
Buildings of Nyumba mpya ya Shule ya Jumapili na ya shule ya watoto wadogo:
Mch. E. Hauff, asante sana kutukumbusha kuwatumia picha za matukuio mbalimblai ya huku Tukuyu zikiwa na maelezo yake, naahidi kulifanyia kazi, pia kwenye kikao tutaenda kusisitiza. Poleni sana kwa shida ya Covid 19 hiyo sio shida tu ya familia, bali pia kanisa na taifo lote na ulimwgengu mzima. Mkiwa na...
Msingi 2013 kujengwa kwa kuta na kupauliwa kwa paa 2013. Kufuatana na mpango makundi mawili ya kindergarten na shule ya Jumapili yatakuwamo
Nyumba ya kupika bila moshi, – jiko jipya
Upanuzi wa nyumba ya wageni ya Akina Mama 2015 misingi na kuta imemalizika. Mipango ipo kujenga vyumba vinginge vya kulala