• Jun2022

  Mkazo wa kazi yetu ya kamati ya ushirikiano katika mwaka 2022 ni ziara ya wajumbe kutoka Tukuyu hapa Ulm, 26/9-11/10 Kamati ya ushirikiano na wenyeji wa Ulm wanakutana 30/5 katika kituo cha ushirika wa Söflingen kuiandaa ziara hii. Picture of our Working Group TAK   Our Visitors from Tansania:

 • Dec2021

  Buildings of Nyumba mpya ya Shule ya Jumapili na ya shule ya watoto wadogo:

 • Jiko jipya

  December 29, 2021

  The new kitchen building (Jiko jipya)

 • Jun2021

  Mountains cannot meet, but people can That people can meet in person, even across borders of continents, experienced the evangelical communities of Erbach, Söflingen, Wiblingen now for 40 years and the community of Dornstadt since 30 years. The initial contact was in 1981. With reciprocal letters initially, a spirited partnership...

 • May2021

  Pamoja na wanawake na wanaume kadhaa wa kanisa la Moravian tulipata nafasi kuwa na siku nzuri mbili kwa Ziwa la Nyassa.

 • Katika chuo cha walimu tunajadiliana mfumo wa shule katika Tanzania na Ujerumani.   : Baadaye tumealikwa kupata nafasi kuona kiwanda cha Chai. Kuendeleza chai ya mahali pale na kuileta sokoni.

 • Ziara yetu wakati wa mkutano wa siku mbali mbali wa wanawake 200, wachungaji na wanawake wajitoleao katika kanisa la mkoa. Wanawake wengi wanapanga mazao yao ili kuyauza.

 • Georg Kocheise, mwalimu na mjumbe wa partnership na Shule ya Sekondari Hans und Sophie Scholl-Gymnasium Ulm alikuwa msaidizi mkubwa wakati kuzitembelea shule za Tukuyu. Darasa katika Shule ya Msingi Madaraka.

 • Mahali pa kupika katika nyumba ya kupika. Maendeleo ndiyo vizuri.   Wakati wa chakula pamoja na  waschiriki wa ushirika. Chakula kilikuwa kupikwa na wajumbe wa Akina Mama katika nyumba ya kupika.  Watoto wa Sandi wanatuimbia na kutuchezea dansi. Kwaia mbili za ushirika, Kwaia ya Shadai na kwaia ya St. Stephano...

 • Baada ya ukaribischo wa Askofu tunaona jinsi maparacici  ya mashamba ya kanisa yanavyofungwa. Tunaongozwa katika nyumba ya makumbusho na manonyesho katika kituo cha Rungwe. Kule wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam wanajifunza masomo yao ya historia.