Vijana wanafundishwa ushonaji kwa njia ya kuvitumia vyerehani.
Vijana wanawashonea nguo wajumbe wa kundi la wageni.