
Wanawake wa Akina Mama wanawajitolea yatima kwa njia mbali mbali:
- Kuwagawanya yatima miongoni mwa familia
- kuwanunulia nguo
- kugharamia chakula
- kulipa ada ya shule na kuwapa vifaa kwa shule
Shirika za ushirikiano hapa Ulm zinausaidia mradi huo tangu 2007.
Ziara ya 2015:
Watoto yatima walipopokea zawadi kutoka kwa wageni
Watoto yatima wanatambulishwa mbele ya wageni
Watoto wanashukuru kwa zawadi