Nyumba mpya ya Shule ya Jumapili na ya shule ya watoto wadogo
Buildings of Nyumba mpya ya Shule ya Jumapili na ya shule ya watoto wadogo:
Buildings of Nyumba mpya ya Shule ya Jumapili na ya shule ya watoto wadogo:
The new kitchen building (Jiko jipya)
Mountains cannot meet, but people can That people can meet in person, even across borders of continents, experienced the evangelical communities of Erbach, Söflingen, Wiblingen now for 40 years and the community of Dornstadt since 30 years. The initial contact was in 1981. With reciprocal letters initially, a spirited partnership...
Pamoja na wanawake na wanaume kadhaa wa kanisa la Moravian tulipata nafasi kuwa na siku nzuri mbili kwa Ziwa la Nyassa.
Katika chuo cha walimu tunajadiliana mfumo wa shule katika Tanzania na Ujerumani. : Baadaye tumealikwa kupata nafasi kuona kiwanda cha Chai. Kuendeleza chai ya mahali pale na kuileta sokoni.
Ziara yetu wakati wa mkutano wa siku mbali mbali wa wanawake 200, wachungaji na wanawake wajitoleao katika kanisa la mkoa. Wanawake wengi wanapanga mazao yao ili kuyauza.
Georg Kocheise, mwalimu na mjumbe wa partnership na Shule ya Sekondari Hans und Sophie Scholl-Gymnasium Ulm alikuwa msaidizi mkubwa wakati kuzitembelea shule za Tukuyu. Darasa katika Shule ya Msingi Madaraka.
Mahali pa kupika katika nyumba ya kupika. Maendeleo ndiyo vizuri. Wakati wa chakula pamoja na waschiriki wa ushirika. Chakula kilikuwa kupikwa na wajumbe wa Akina Mama katika nyumba ya kupika. Watoto wa Sandi wanatuimbia na kutuchezea dansi. Kwaia mbili za ushirika, Kwaia ya Shadai na kwaia ya St. Stephano...
Baada ya ukaribischo wa Askofu tunaona jinsi maparacici ya mashamba ya kanisa yanavyofungwa. Tunaongozwa katika nyumba ya makumbusho na manonyesho katika kituo cha Rungwe. Kule wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam wanajifunza masomo yao ya historia.